MAHITAJI Unga uliyotayarishwa tayari kwa kupikwa (pakiti moja – 500g) Mayai matatu Mafuta ya kupikia 80ml Maji safi 200ml Butter kiasi Kwa ajili ya topping Nunua chokolate yenye karanga Maziwa kikombe kimoja JINSI YA KUPIKA Tayarisha oven yako kwa kuiwasha
Jinsi ya kupika chapati kwa kutumi unga wako bora wa AZANIA
Mahitaji Unga wa ngano (plain flour 1/2 of kilo) Siagi (butter vijiko 2 vya chakula) Yai (egg 1) Chumvi (1/2 ya kijiko cha chai) Hiliki (ground cardamon 1/4 ya kijiko cha chai) Maji ya uvuguvugu (warm water) Mafuta (vegetable oil)