e-Mail : info@azaniagroup.company
Call Us : 0710 111 112
Blog

AZANIAGROUP YACHANGIA BIMA 200 KWA WATOTO YATIMA.

Kampuni ya Azaniagroup imewadhamini Ocean City Community Half Marathon,Kupitia harambee ya kuchangia watoto yatima 200 bima za afya Azania imeungana na Ocean City Community Half Marathon katika ukimbiaji na uhamasishaji wa mazoezi kwa afya ya kila Mtanzania na lengo na dhumuni ya Marathon iliyofanyika hivi leo tar 31-10-2021 katika viwanja vya Farasi/Masaki ni kuhimiza na kuhamasisha uchangiaji wa bima kwa watoto yatima 200 kwa mwaka mzima.