e-Mail : info@azaniagroup.company
Call Us : 0710 111 112
Corporate Social Responsibility

AZANIAGROUP YACHANGIA BIMA 200 KWA WATOTO YATIMA.

Kampuni ya Azaniagroup imewadhamini Ocean City Community Half Marathon,Kupitia harambee ya kuchangia watoto yatima 200 bima za afya Azania imeungana na Ocean City Community Half Marathon katika ukimbiaji na uhamasishaji wa mazoezi kwa afya ya kila Mtanzania na lengo na dhumuni ya Marathon iliyofanyika hivi leo tar 31-10-2021 katika viwanja vya Farasi/Masaki ni kuhimiza na...
Read more

Azania Yaendelea Kutoa Kwa Jamii.

Uongozi wa Azaniagroup umeendelea kutoa na kurudisha kwa jamii misaada kwa watu wanaopitia hali ngumu katika maisha. Uongozi wa Azaniagroup hatukusita kufika tegeta madale mbopo kwenda kwenda kuwajulia hali watoto wa kituo cha wellness na kuwapatia misaada kwa ajili ya kujiendeleza katika ukuaji wao.
Read more

Mwanamke fundi wa iftari

Read more

Azania donates 50 million during corona

Waziri wa Afya Umi Mwalimu akipokea msaada wa sabuni na Fedha Sh.Milioni 50 kutoka kampuni ya Azania Group kwa ajili ya mapambano ya corona(COVID19) nchini.
Read more