HBF ( HOME BAKING FLOUR ) Huu ni unga maalumu kwa matumizi ya nyumbani na mapishi yote yanahusisha Unga wa ngano kama vile Chapati,Maandazi na Sambusa huu ni unga unaopatikana Azania pekee na unaoweza kukupa matokeo kwa usahihi na wakati sahihi….Tumia sasa unga wa ngano wa HBF kutoka Azania kwa matokeo sahihi….
AZANIA YAENDELEA KUWA NAMBA MOJA KWENYE SEKTA YA UZALISHAJI CHAKULA.
Azaniagroup imeendelea kuwa Kampuni namba 1 katika sekta ya uzalishaji chakula. Katika msimu wa 45 wa maonyesho kitaifa Sabasaba Azaniagroup imeibuka kuwa Kampuni namba 1 ya uzalishaji chakula kama vile Unga wa Ngano wa aina zote CAKE FLOUR,HBF ( Home Baking Flour ),SBF ( Special Baking Flour ),PPF,TAMBI FLOUR,ATTA MARK 1,BROWN FLOUR…. NK
RAHISI KATIKA UKANDAJI UNGA WA NGANO KUTOKA AZANIA.
Unga wa Ngano toka azania kwa matokeo ya uhakika na haraka laini katika ukandaji na uhakika kukupa matokeo sahihi katika mapishi yako….
AZANIA KATIKA MAONYESHO YA 45 KITAIFA SABASABA.
Azaniagroup imeendelea kuwepo kila mwaka katika maonyesho ya 45 kitaifa sabasaba na huu ndio muonekano wake mpya wa banda la Msimu huu 2021 katika maonyesho hayo na banda linapatikana katika lango kuu la sabasaba kushoto,KARIBUNI WATANZANIA WOTE.
Azania donates 50 million during corona
Waziri wa Afya Umi Mwalimu akipokea msaada wa sabuni na Fedha Sh.Milioni 50 kutoka kampuni ya Azania Group kwa ajili ya mapambano ya corona(COVID19) nchini.