Description
Virutubisho vyote, kwa afya yako. Unga wa Azania Super Sembe ni unga halisi wa mahindi, ulioandaliwa kwa umakini mkubwa kulinda virutubisho vyote ili kuboresha afya yako. Azania Super Sembe, Nguvu Yako.
All nutrients for your health. Azania Super Sembe flour is a corn flour prepared with great care to protect all the nutrients needed to improve your health. Azania Super Sembe, Nguvu yako.