Unga wa ngano kutoka Azania HBF ( HOME BAKING FLOUR ) ndio unga wa ngano special kwa ajili ya matumizi ya mjumbani na kwa mapishi yanakuwa yahusisha familia HBF toka azania itakupatia matokeo sahihi na ya uhakika.Unga wa ngano wa HBF toka azania umeboreshwa kwenye muonekano wake na pia hata laini katika ukandaji hautumii nguvu na pia,umeboreshwa mara mbili zaidi na unakupa matokeo zaidi.Tumia sasa Unga wa ngano wa HBF toka Azania unaopatikana katika ujazo wa 1KG,2KG,5KG,25KG na 50KG na unapatikana Tanzania nzima kwa jumla na rejareja.
Blog