September 28, 2021September 28, 2021 events 0 NATACHA BURUNDI AFANYA ZIARA AZANIAGROUP. Msanii Maarufu nchini Burundi na pia ni Balozi wa Kampuni ya Azaniagroup nchini Burundi afanya ziara katika Makao makuu ya Azaniagroup nchini Tanzania kujifunza na kujionea utengenezaji. wa Unga wa ngano unafanyika.