e-Mail : info@azaniagroup.company
Call Us : 0710 111 112

Category: events

AZANIA TEMPO YEAST 2021.

Azaniagroup imeendelea kuwafanya Watanzania kujivunia kuwa wateja wa bidhaa za Azania na sasa hivi katika upande wa kuumusha na kupata matokeo ya haraka zaidi kwa kutumia bidhaa ya Hamira ya Tempo kutoka Azania inayokupa matokeo kwa wakati sahihi kabisa muda.Azania Tempo imegawanyika katika makundi mawili kuna ( 1 ) TEMPO HAMIRA ( 2 ) TEMPO...
Read more

AZANIA YAENDELEA KUWA NAMBA MOJA KWENYE SEKTA YA UZALISHAJI CHAKULA.

Azaniagroup imeendelea kuwa Kampuni namba 1 katika sekta ya uzalishaji chakula. Katika msimu wa 45 wa maonyesho kitaifa Sabasaba Azaniagroup imeibuka kuwa Kampuni namba 1 ya uzalishaji chakula kama vile Unga wa Ngano wa aina zote CAKE FLOUR,HBF ( Home Baking Flour ),SBF ( Special Baking Flour ),PPF,TAMBI FLOUR,ATTA MARK 1,BROWN FLOUR…. NK
Read more
Read more

AZANIA KATIKA MAONYESHO YA 45 KITAIFA SABASABA.

Azaniagroup imeendelea kuwepo kila mwaka katika maonyesho ya 45 kitaifa sabasaba na huu ndio muonekano wake mpya wa banda la Msimu huu 2021 katika maonyesho hayo na banda linapatikana katika lango kuu la sabasaba kushoto,KARIBUNI WATANZANIA WOTE.
Read more

Nanenane

Read more

Sabasaba

Read more

Kitchen Party Gala

Read more