e-Mail : info@azaniagroup.company
Call Us : 0710 111 112
Blog

AZANIA TEMPO YEAST 2021.

Azaniagroup imeendelea kuwafanya Watanzania kujivunia kuwa wateja wa bidhaa za Azania na sasa hivi katika upande wa kuumusha na kupata matokeo ya haraka zaidi kwa kutumia bidhaa ya Hamira ya Tempo kutoka Azania inayokupa matokeo kwa wakati sahihi kabisa muda.Azania Tempo imegawanyika katika makundi mawili kuna ( 1 ) TEMPO HAMIRA ( 2 ) TEMPO + IMPROVER na aina zote hizi zinapatikana katika maduka ya jumla na rejareja Tanzania nzima mpaka nchi za jirani…