e-Mail : info@azaniagroup.company
Call Us : 0710 111 112
Blog

Azania Yaendelea Kutoa Kwa Jamii.

Uongozi wa Azaniagroup umeendelea kutoa na kurudisha kwa jamii misaada kwa watu wanaopitia hali ngumu katika maisha. Uongozi wa Azaniagroup hatukusita kufika tegeta madale mbopo kwenda kwenda kuwajulia hali watoto wa kituo cha wellness na kuwapatia misaada kwa ajili ya kujiendeleza katika ukuaji wao.