Kampuni ya Azaniagroup yatoa shukrani kwa watanzania wote kwa kuendelea kuwa kampuni namba 1 katika sekta ya uzalishaji chakula katika maonyesho ya 45 ya sabasaba. Meneja masoko Mr. Joel Laiser aongea na Waandishi wa Habari akishukuru na kuwasihi kwa kuwashauri watanzania kuendelea kutumia bidhaa yao namba moja kwa matumizi ya kila siku majumbani. Pia amesisitiza kuwa sasa bidhaa za Azania zinapatikana Tanzania na mpaka nje ya Tanzania na watakaohitaji kuwa mawakala wa bidhaa za Azania wapige simu namba +255710111112.
Blog