e-Mail : info@azaniagroup.company
Call Us : 0710 111 112
Blog

Azania Fresh Gold Cooking Oil Uhakika wa Afya Yako.

Azania Fresh Gold Cooking Oil kutoka Azania ndio mafuta ya kupikia ya kwanza Tanzania yaliyochujwa mara tatu zaidi kwa ajili ya ulinzi wa afya na hayana lehemu. Mafuta ya Azania sasa yanapatikana Tanzania nzima kw jumla na rejareja katika ujazo tofauti tofautti kuanzia 1ltrs,3ltrs,5ltrs,10ltrs na 17kg. Kwa ulinzi na uhakika wa Afya yako tumia Azania Fresh Gold Cooking Oil.