e-Mail : info@azaniagroup.company
Call Us : 0710 111 112
Blog

AZANIA KUWANIA TUZO ZA CONSUMER CHOICE AWARDS AFRIKA.

Katika mwaka mwingine 2021,Kampuni ya Azaniagroup inaendelea kuwashukuru na kuwathamini Watanzania wote na watumiaji wa bidhaa za Azania na sasa kwa pamoja,Tunawakaribisha watanzania wote katika kuipigia kura kupitia instagram page yao ya @azaniagroup baada ya msimu huu wa 2021 kuingia katika vipengele viwili vya ” MOST PREFERRED DETERGENT MANUFACTURING OF THE YEAR ” na ” BEST MOST PREFERRED FOOD PRODUCT MANUFACTURING COMPANY ” Kuanzia kila mtanzania mwenye mapenzi na bidhaa zake pendwa kutoka Azania fuata maelekezo kwenda kupiga kura kupitia page yetu ya instagram kuna link kwenye bio unagusa link itakupeleka kwenye kupiga kura utaweka alama ya tick na utakuwa umepiga kura.Karibu Azania na endelea kutumia bidhaa kutoka Azania.