e-Mail : info@azaniagroup.company
Call Us : 0710 111 112
Blog

Azania Supa Star

Azania Supa Star ni sabuni ya mche inayozalishwa na kampuni ya Mikoani Edible LTD. Kwa miaka kadhaa imekuwa sabuni namba moja na pendwa kwa watanzania inayokidhi mahitaji na kuweka nguo safi vilevile ni sabuni inayoweza kutumika kwa matumizi zaidi mawili kufulia na hata kuogea.Tumia sasa sabuni ya Supa Star toka Azania kwa matumizi ya uhakika na usafi wa uhakika…..