e-Mail : info@azaniagroup.company
Call Us : 0710 111 112
Blog

AZANIA TUPIGIE KURA KATIKA INSTAGRAM YETU.

Ndugu Mtanzania AZANIA GROUP, inayomilikiwa na Wazalendo wa kitanzania, Mwaka huu imependekezwa kushiriki kwenye tuzo za “CONSUMER CHOICE AWARD AFRICA” katika vipengele viwili:

1; _”Most Preferred Detergent Manufacturing of the Year” kupitia sabuni zetu za unga za MARHABA na KING LIMAU”. _

2;”Most Preferred Food Product Manufacturing Company of the Year Kupitia unga wetu Bora wa Ngano. “

Uongozi wa Azania Group unakuomba kwa heshima utupigie kura yako kwa kuweka alama ya tiki ✅katika vipengele vyote viwili kwenye link iliyopo instagram account yetu juu ya bio yetu. Tunatanguliza shukrani zetu za dhatiLikeCommentShare