e-Mail : info@azaniagroup.company
Call Us : 0710 111 112
Blog

Azania Yaendelea Kuvuka Mipaka Katika Kuwafikia Watanzania.

https://youtu.be/WZorP6aeBjw

Kampuni ya Azaniagroup katika kuendelea na kuhakikisha inawafikia wateja wake kila kona ya Tanzania na Nchi zote za jirani imeendelea kujiimarisha katika sekta ya usafirishaji bidhaa. Azania imeongea gari za usafirishaji bidhaa zisizopungua 30 ili kufikia nchi zote za jirani kama vile Kenya,Uganda,Malawi,Burundi,Rwanda na nchi nyingine nyingi.