UTAMBULISHO WA AZANIA SPAGHETTI KWENYE SOKO LA TANZANIA
Azania Group of Companies, inapenda kuwajulisha wateja wetu wote kwamba leo tarehe 30 August 2023, tumezindua bidhaa yetu mpya iitwayo, “Azania spaghetti”. Bidhaa hii inakusudiwa kuleta mapinduzi ya Tambi yenye virutubisho, ladha na uborawa hali ya juu, katika soko la Tambi,Tanzania. Azania Spaghetti inakuja wakati sahihi, ikiwa ni kuitikia ombi na matakwa ya wateja wetu...
AZANIA GROUP LAUNCHES PREMIUM HOME FLOUR TO ADD VALUE AND CONVENIENCE TO ITS CONSUMERS
Azania Group, one of the leading staple food brands, launched a new top-of-the-market premium flour enticing its consumers to use whiter, softer, long shelf life premium flour in a wider range of recipes, Unveiling its completing new flour brand dubbed AZANIA – PREMIUM HOME FLOUR (PHF) ,a baking flour which is not only pure but...
Azania Supa Sembe
Azania tunanendelea kukupa kilicho bora zaidi, Azania Super Sembe. Azania Super sembe ni unga wa mahindi wenye virutubisho vingi, ladha nzuri na unapatikan kote madukani.
Champion Bar Soap
Bar soap with enough foam to be used in washing clothes and even in washing dishes. Sabuni ya kipande yenye povu la kutosha utumika kwenye kufua nguo na hata kwenye kuosha viombo.
Champion Bar Soap
Sabuni ya kipande yenye povu la kutosha utumika kwenye kufua nguo na hata kwenye kuosha viombo. Bar soap with enough foam to be used in washing clothes and even in washing dishes.
MENEJIMENTI NA WAFANYAKAZI WA AZANIAGROUP UNAUNGANA MH.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA.
Menejimenti na Wafanyakazi wa Azaniagroup tunawatakiwa Watanzania wote sherehe njema za miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania na kumpongeza MH.RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuboresha miundombinu ya kibiashara na Tanzania kiujumla.
AZANIA WASHINDI WA SABUNI BORA YA MWAKA.
Kampuni ya Azaniagroup imeshiriki kwa mara nyinigine katika tuzo za CONSUMER CHOICE AWARDS 2021 #CCAWARDS2021 na katika msimu imeibuka washindi kipengele cha ( DETERGENT MANUFACTURE OF THE YEAR ) kupitia sabuni zake bora King Limau na Marhaba.
AZANIA WASHINDI WA CONSUMER CHOICE AWARDS 2021.
Kampuni ya Azaniagroup yachaguliwa kuwa Washindi katika kipengele cha Detergent Manufacture of the Year katika tuzo za CONSUMER CHOICE AWARDS AFRICA kwa msimu huu wa mwaka 2021. Kampuni ya Azaniagroup imeendelea kutoa huduma iliyotukuka na kukidhi vigezo katika swala la ubora wa bidhaa zao.
AZANIA TUPIGIE KURA KATIKA INSTAGRAM YETU.
Ndugu Mtanzania AZANIA GROUP, inayomilikiwa na Wazalendo wa kitanzania, Mwaka huu imependekezwa kushiriki kwenye tuzo za “CONSUMER CHOICE AWARD AFRICA” katika vipengele viwili: 1; _”Most Preferred Detergent Manufacturing of the Year” kupitia sabuni zetu za unga za MARHABA na KING LIMAU”. _ 2;”Most Preferred Food Product Manufacturing Company of the Year Kupitia unga wetu Bora...