e-Mail : info@azaniagroup.company
Call Us : 0710 111 112
Blog

MARHABA 200GRM NI ZAIDI YA USAFI.

Je umejaribu kutumia sabuni ya Marhaba grm 200 inayopatikana madukani kote na Tanzania nzima kwa jumla na rejareja. Sabuni ya Unga ya kufulia ya Marhaba ya grm 200 inayopatikana Tanzania nzima kwa maduka madogo na makubwa na kwenye supermarket pia ni sabuni nzuri kwa matumizi ya kufulia isiyochubukua mikono na povu la kutosha na yenye kung’arisha nguo zako na kuondoa madoa sugu. Tumia sasa sabuni ya unga ya Marhaba kutoka Azania inayopatikana madukani kote.