AZANIA SUPER POWER UNGA WA UHAKIKA KUKUPA MIKATE YA AINA ZOTE.
Azania Super Power ndio unga wa ngano namba 1 nchini Tanzania kwa matumizi ya mikate na kukupa matokeo sahihi na kwa uhakika. Kwa miaka na miaka sasa tangu kampuni ya Azaniagroup waanze fanya uzalishaji wa Unga wa ngano wa Super power umekuwa pendwa kwa watumiaji wa bakery na hata wale midogo wanaoanza biashara kwa sababu...
Azania Supa Star
Azania Supa Star ni sabuni ya mche inayozalishwa na kampuni ya Mikoani Edible LTD. Kwa miaka kadhaa imekuwa sabuni namba moja na pendwa kwa watanzania inayokidhi mahitaji na kuweka nguo safi vilevile ni sabuni inayoweza kutumika kwa matumizi zaidi mawili kufulia na hata kuogea.Tumia sasa sabuni ya Supa Star toka Azania kwa matumizi ya uhakika...
RAHISI KATIKA UKANDAJI UNGA WA NGANO KUTOKA AZANIA.
Unga wa Ngano toka azania kwa matokeo ya uhakika na haraka laini katika ukandaji na uhakika kukupa matokeo sahihi katika mapishi yako….
Chocolate Cake kwa kutumia Unga wako bora wa Azania
MAHITAJI
Unga uliyotayarishwa tayari kwa kupikwa (pakiti moja – 500g)
Mayai matatu
Mafuta ya kupikia 80ml
Maji safi 200ml
Jinsi ya kupika chapati kwa kutumia unga wako bora wa AZANIA
Unga wa ngano (plain flour 1/2 of kilo)
Siagi (butter vijiko 2 vya chakula)
Yai (egg 1)
Chumvi (1/2 ya kijiko cha chai)
Hiliki (ground cardamon 1/4 ya kijiko cha chai)
Maji ya uvuguvugu
How to make bread using the Azania Flour
Organic food consumption is rapidly increasing. The heightened interest in the global environment and a willingness to look
Making Buttermilk biscuits
The Age of Information has given us modern conveniences like the Internet and smart devices. With these, information is readily available
How to make delicious buns
We are all fighting the ravages of time. But, what if time didn’t have to be so ravaging? Antioxidants may be the answer to help your body grow old