e-Mail : info@azaniagroup.company
Call Us : 0710 111 112

Category: blog

King Limau Nguvu ya Usafi.

Kampuni ya Azaniagroup katika kugusa Watanzania wote na kuweza kuwapatia bidhaa za uhakika King limau ni sabuni ya kipande ya grm 500 inayopatikana katika katika maduka ya jumla na rejareja na ambayo inakidhi mahitaji ya Watanzania wote.King limau grm 500 sasa inapatikana Tanzania nzima kwa jumla na rejareja.
Read more
Unga wa ngano kutoka Azania HBF ( HOME BAKING FLOUR ) ndio unga wa ngano special kwa ajili ya matumizi ya mjumbani na kwa mapishi yanakuwa yahusisha familia HBF toka azania itakupatia matokeo sahihi na ya uhakika.Unga wa ngano wa HBF toka azania umeboreshwa kwenye muonekano wake na pia hata laini katika ukandaji hautumii nguvu...
Read more

AZANIA FRESH MAFUTA BORA YA KUPIKIA.

Azania Fresh Gold Cooking Oil ndio mafuta pekee ya kupikia kutoka Azaniagroup yaliyokidhi viwango na kujali afya mtumiaji. Mafuta ya Azania fresh Gold Cooking Oil yamechunjwa mara tatu zaidi na haya lehemu kwa ajili ya ulinzi wa afya yako.Mafuta kutoka Azania yanapatikana Tanzania nzima kuanzia kwenye Mall,Supermarket na Mini Supermarket na Duka za Jumla na...
Read more

AZANIA SUPER POWER UNGA WA UHAKIKA KUKUPA MIKATE YA AINA ZOTE.

Azania Super Power ndio unga wa ngano namba 1 nchini Tanzania kwa matumizi ya mikate na kukupa matokeo sahihi na kwa uhakika. Kwa miaka na miaka sasa tangu kampuni ya Azaniagroup waanze fanya uzalishaji wa Unga wa ngano wa Super power umekuwa pendwa kwa watumiaji wa bakery na hata wale midogo wanaoanza biashara kwa sababu...
Read more
Uongozi wa Azaniagroup unawatakia Watanzania wote Jumma Kareem na kuendelea kufanya kwa bidii kujenga Taifa na miundombinu ya Taifa letu..
Read more

Azania Supa Star

Azania Supa Star ni sabuni ya mche inayozalishwa na kampuni ya Mikoani Edible LTD. Kwa miaka kadhaa imekuwa sabuni namba moja na pendwa kwa watanzania inayokidhi mahitaji na kuweka nguo safi vilevile ni sabuni inayoweza kutumika kwa matumizi zaidi mawili kufulia na hata kuogea.Tumia sasa sabuni ya Supa Star toka Azania kwa matumizi ya uhakika...
Read more

RAHISI KATIKA UKANDAJI UNGA WA NGANO KUTOKA AZANIA.

Unga wa Ngano toka azania kwa matokeo ya uhakika na haraka laini katika ukandaji na uhakika kukupa matokeo sahihi katika mapishi yako….
Read more

Chocolate Cake kwa kutumia Unga wako bora wa Azania

MAHITAJI Unga uliyotayarishwa tayari kwa kupikwa (pakiti moja – 500g) Mayai matatu Mafuta ya kupikia 80ml Maji safi 200ml
Read more

Jinsi ya kupika chapati kwa kutumia unga wako bora wa AZANIA

Unga wa ngano (plain flour 1/2 of kilo) Siagi (butter vijiko 2 vya chakula) Yai (egg 1) Chumvi (1/2 ya kijiko cha chai) Hiliki (ground cardamon 1/4 ya kijiko cha chai) Maji ya uvuguvugu
Read more

How to make bread using the Azania Flour

Organic food consumption is rapidly increasing. The heightened interest in the global environment and a willingness to look
Read more