Champion Bar Soap
Sabuni ya kipande yenye povu la kutosha utumika kwenye kufua nguo na hata kwenye kuosha viombo. Bar soap with enough foam to be used in washing clothes and even in washing dishes.
MENEJIMENTI NA WAFANYAKAZI WA AZANIAGROUP UNAUNGANA MH.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA.
Menejimenti na Wafanyakazi wa Azaniagroup tunawatakiwa Watanzania wote sherehe njema za miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania na kumpongeza MH.RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuboresha miundombinu ya kibiashara na Tanzania kiujumla.
AZANIA WASHINDI WA SABUNI BORA YA MWAKA.
Kampuni ya Azaniagroup imeshiriki kwa mara nyinigine katika tuzo za CONSUMER CHOICE AWARDS 2021 #CCAWARDS2021 na katika msimu imeibuka washindi kipengele cha ( DETERGENT MANUFACTURE OF THE YEAR ) kupitia sabuni zake bora King Limau na Marhaba.
AZANIA WASHINDI WA CONSUMER CHOICE AWARDS 2021.
Kampuni ya Azaniagroup yachaguliwa kuwa Washindi katika kipengele cha Detergent Manufacture of the Year katika tuzo za CONSUMER CHOICE AWARDS AFRICA kwa msimu huu wa mwaka 2021. Kampuni ya Azaniagroup imeendelea kutoa huduma iliyotukuka na kukidhi vigezo katika swala la ubora wa bidhaa zao.
AZANIA TUPIGIE KURA KATIKA INSTAGRAM YETU.
Ndugu Mtanzania AZANIA GROUP, inayomilikiwa na Wazalendo wa kitanzania, Mwaka huu imependekezwa kushiriki kwenye tuzo za “CONSUMER CHOICE AWARD AFRICA” katika vipengele viwili: 1; _”Most Preferred Detergent Manufacturing of the Year” kupitia sabuni zetu za unga za MARHABA na KING LIMAU”. _ 2;”Most Preferred Food Product Manufacturing Company of the Year Kupitia unga wetu Bora...
AZANIAGROUP YACHANGIA BIMA 200 KWA WATOTO YATIMA.
Kampuni ya Azaniagroup imewadhamini Ocean City Community Half Marathon,Kupitia harambee ya kuchangia watoto yatima 200 bima za afya Azania imeungana na Ocean City Community Half Marathon katika ukimbiaji na uhamasishaji wa mazoezi kwa afya ya kila Mtanzania na lengo na dhumuni ya Marathon iliyofanyika hivi leo tar 31-10-2021 katika viwanja vya Farasi/Masaki ni kuhimiza na...
MARHABA 200GRM NI ZAIDI YA USAFI.
Je umejaribu kutumia sabuni ya Marhaba grm 200 inayopatikana madukani kote na Tanzania nzima kwa jumla na rejareja. Sabuni ya Unga ya kufulia ya Marhaba ya grm 200 inayopatikana Tanzania nzima kwa maduka madogo na makubwa na kwenye supermarket pia ni sabuni nzuri kwa matumizi ya kufulia isiyochubukua mikono na povu la kutosha na yenye...
AZANIA KUWANIA TUZO ZA CONSUMER CHOICE AWARDS AFRIKA.
Katika mwaka mwingine 2021,Kampuni ya Azaniagroup inaendelea kuwashukuru na kuwathamini Watanzania wote na watumiaji wa bidhaa za Azania na sasa kwa pamoja,Tunawakaribisha watanzania wote katika kuipigia kura kupitia instagram page yao ya @azaniagroup baada ya msimu huu wa 2021 kuingia katika vipengele viwili vya ” MOST PREFERRED DETERGENT MANUFACTURING OF THE YEAR ” na ”...
Azania Kwenye Mwanamke Fundi wa Futari.
Meneja Masoko Azaniagroup Mr.Joel Laiser aendelea kuipeperusha bendera ya Azania katika msimu wa Mwanamke Fundi wa Futari na hapa akiwa ndani ya Channel 10 akiongea na waandishi wa Habari juu ya uwepo wa Azaniagroup katika Sherehe za Mwanamke fundi wa Futari Tanzania ambapo kilele chake kitafanyika katika Viwanja vya Gongolamboto.