MARHABA 200GRM NI ZAIDI YA USAFI.
Je umejaribu kutumia sabuni ya Marhaba grm 200 inayopatikana madukani kote na Tanzania nzima kwa jumla na rejareja. Sabuni ya Unga ya kufulia ya Marhaba ya grm 200 inayopatikana Tanzania nzima kwa maduka madogo na makubwa na kwenye supermarket pia ni sabuni nzuri kwa matumizi ya kufulia isiyochubukua mikono na povu la kutosha na yenye...
AZANIA KUWANIA TUZO ZA CONSUMER CHOICE AWARDS AFRIKA.
Katika mwaka mwingine 2021,Kampuni ya Azaniagroup inaendelea kuwashukuru na kuwathamini Watanzania wote na watumiaji wa bidhaa za Azania na sasa kwa pamoja,Tunawakaribisha watanzania wote katika kuipigia kura kupitia instagram page yao ya @azaniagroup baada ya msimu huu wa 2021 kuingia katika vipengele viwili vya ” MOST PREFERRED DETERGENT MANUFACTURING OF THE YEAR ” na ”...
Azania Kwenye Mwanamke Fundi wa Futari.
Meneja Masoko Azaniagroup Mr.Joel Laiser aendelea kuipeperusha bendera ya Azania katika msimu wa Mwanamke Fundi wa Futari na hapa akiwa ndani ya Channel 10 akiongea na waandishi wa Habari juu ya uwepo wa Azaniagroup katika Sherehe za Mwanamke fundi wa Futari Tanzania ambapo kilele chake kitafanyika katika Viwanja vya Gongolamboto.
Azaniagroup yakutana na Waandishi wa Habari kushukuru.
Kampuni ya Azaniagroup yatoa shukrani kwa watanzania wote kwa kuendelea kuwa kampuni namba 1 katika sekta ya uzalishaji chakula katika maonyesho ya 45 ya sabasaba. Meneja masoko Mr. Joel Laiser aongea na Waandishi wa Habari akishukuru na kuwasihi kwa kuwashauri watanzania kuendelea kutumia bidhaa yao namba moja kwa matumizi ya kila siku majumbani. Pia amesisitiza...
Azania Yaendelea Kuvuka Mipaka Katika Kuwafikia Watanzania.
Kampuni ya Azaniagroup katika kuendelea na kuhakikisha inawafikia wateja wake kila kona ya Tanzania na Nchi zote za jirani imeendelea kujiimarisha katika sekta ya usafirishaji bidhaa. Azania imeongea gari za usafirishaji bidhaa zisizopungua 30 ili kufikia nchi zote za jirani kama vile Kenya,Uganda,Malawi,Burundi,Rwanda na nchi nyingine nyingi.
Azania Fresh Gold Cooking Oil Uhakika wa Afya Yako.
Azania Fresh Gold Cooking Oil kutoka Azania ndio mafuta ya kupikia ya kwanza Tanzania yaliyochujwa mara tatu zaidi kwa ajili ya ulinzi wa afya na hayana lehemu. Mafuta ya Azania sasa yanapatikana Tanzania nzima kw jumla na rejareja katika ujazo tofauti tofautti kuanzia 1ltrs,3ltrs,5ltrs,10ltrs na 17kg. Kwa ulinzi na uhakika wa Afya yako tumia Azania...
King Limau Nguvu ya Usafi.
Kampuni ya Azaniagroup katika kugusa Watanzania wote na kuweza kuwapatia bidhaa za uhakika King limau ni sabuni ya kipande ya grm 500 inayopatikana katika katika maduka ya jumla na rejareja na ambayo inakidhi mahitaji ya Watanzania wote.King limau grm 500 sasa inapatikana Tanzania nzima kwa jumla na rejareja.
Azania Yaendelea Kutoa Kwa Jamii.
Uongozi wa Azaniagroup umeendelea kutoa na kurudisha kwa jamii misaada kwa watu wanaopitia hali ngumu katika maisha. Uongozi wa Azaniagroup hatukusita kufika tegeta madale mbopo kwenda kwenda kuwajulia hali watoto wa kituo cha wellness na kuwapatia misaada kwa ajili ya kujiendeleza katika ukuaji wao.
NATACHA BURUNDI AFANYA ZIARA AZANIAGROUP.
Msanii Maarufu nchini Burundi na pia ni Balozi wa Kampuni ya Azaniagroup nchini Burundi afanya ziara katika Makao makuu ya Azaniagroup nchini Tanzania kujifunza na kujionea utengenezaji. wa Unga wa ngano unafanyika.
Unga wa ngano kutoka Azania HBF ( HOME BAKING FLOUR ) ndio unga wa ngano special kwa ajili ya matumizi ya mjumbani na kwa mapishi yanakuwa yahusisha familia HBF toka azania itakupatia matokeo sahihi na ya uhakika.Unga wa ngano wa HBF toka azania umeboreshwa kwenye muonekano wake na pia hata laini katika ukandaji hautumii nguvu...